Nyerere enzi zake kenda Mirembe kutazama maendeleo ya ujenzi, wakati anaingia langoni mgonjwa mmoja kasema..
"Dah mwenzetu kazidiwa kweli... mie nililetwa na nesi tu hapa yeye analetwa na mapolisi duh!!" alipoingia wadini..
mgonjwa mwingine kamuuliza "Ivi lakini we ni nani" Babu kamjibu.. "Mie Nyerere..."
Huyo mgonjwa kwa hali ya woga mkuu kasema akinong'ona "Shhhhhh..... wasikusikie... mi nilijiita Kawawa walipiga kidogo waniuwe..
Sa we unajiita Nyerere shauri zako!!"
2 comments:
Kha!!hii imesetle vibaya mno.
Your blog keeps getting better and better! Your older articles are not as good as newer ones you have a lot more creativity and originality now keep it up!
Post a Comment