Sina Apetaiti

Mwalimu wa zamu akiwa kwenye ukaguzi mabwenini kuona kama wanafunzi wote wamekweda kwenye chakula cha jioni alimkuta mwanafunzi mmoja akiwa kalala hivyo mazungumzo yakawa hivi:

Mwalimu: wewe mbona umelala wakati wenzako wamekwenda kula?

Mwanafunzi: Leo sina Apetaiti mwalimu.

Mwalimu: (kwa mshangao na hasira) Umezidi uzembe sasa apetaiti yako ina maana umeipoteza ndiyo maana unashindwa kwenda kula halafu kwa nini hukuomba wenzako wakati wengine wanazo apetaiti mpaka tatu na hawazitumii sasa hivi, ungewaazima moja na wewe ukale shenzi mkubwa we!

2 comments:

Anonymous said...

kwi! kwi!kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!

Anonymous said...

Mh hii kali!