Ndipo wakampeleka kwa SPIKA wakamuuliza wewe ndie RICHMOND? hata asijibu neno.....Spika akaomba mwongozo......ndipo LOWASSA akasema najiuzulu, wabunge wakapiga kelele wakisema ASULUBIWE!!!
Spika akasema mpelekeni GOLGOTA,hata yapata saa 11 wakamsulubisha LOWASSA. Kulia kwake alikuwepo KARAMAGI kushoto MSABAHA. Karamagi akamwambia Lowassa umefanya usanii mwingi sana jiokoe wewe na sisi pia.LOWASSA akalia kwa uchungu wa kimasai akisema "OONGAI PAPALAI!!"yaani RAIS mbona umeniacha???Kisha akaachia ngazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment